Katekisimu Ndogo Ni msingi wa mafundisho ya imani y Kanisa Katoliki,
App hii imeandaliwa kulingana na Katarisimu ndogo y Kanisa Katoliki, Jimbo kuu la Songea chapisho la mwaka 1998
Imegawanyika katika sehemu kuu nne ambapo kila moja inavipengele kadhaa vyenye maswali na majibu ambayo ni msingi katika kujifunza imani y Kanisa katoliki,
zaidi ikihusianisha mafundisho yake na neno la Mungu kutoka katika vitabu mbalimbali vya Biblia takatifu:
1: SEHEMU YA KWANZA: IMANI
- Kipengele hiki kinahusisha Kanuni y Imani ya Kanisa Katotiki amapo pia kimegawanyika katika sehemu kuu 12 เดือนก่อนหน้านี้ moja wapo ndani yake kuna maswali na
majibu kuhusiana na kila kipendele kwenye kanuni ya imani.
1.0: NASADIKI
1.1: KWA MUNGU BABA MWENYEZI
1.2: MUUMBA MBINGU NA DUNIA
1.3: YESU KRISTU MWANAE WA PEKEE BWANA WETU ALIYETUNGWA KWA ROHO MTAKATIFU AKAZALIWA NA BIKIRA MARIA
1.4: AKATESWA KWA MAMLAKA YA PENIO PILATO AKATESWA AKAFA AKAZIKWA AKASHUKIA KUZIMU SIKU YA TATU AKAFUFUKA KATIKA WAFU
1.5: AKAPAA MBINGUNI AMEKAA KUUME KWA MUNGU BABA MWENYEZI
1.6: TOKA HUKO ATAKUJA KUWAHUKUMU WAZIMA NA WAFU
1.7: NASADIKI KWA ROHO MTAKATIFU
1.8: KANISA TAKATIFU KATOLIKI
1.9: USHIRIKA WA WATAKATIFU
1.10: MAONDOLEO YA DHAMBI
1.11: UFUFUKO WA MIILI NA UZIMA WA MILELE
2: SEHEMU YA PILI: SAKRAMENTI
-Sehemu hii inatoa majibu yum maswali kuhusu Liturujia, Neema, Visakramenti, Sakramenti
umuhimu wa Sakramenti, nani na wakati gani anatakiwa kupokea Sakramenti husika. Sehemu hii pia imegawanyika katika vipengele kama ifuatavyo:
2.0: LITURJIA
2.1: NEEMA
2.2: SAKRENTENTI
2.3: VISAKRAMENTI
2: 4: ศาลา
3: SEHEMU YA TATU: AMRI
เพื่อให้เป็นไปตามความเชื่อของพระเยซูคริสต์, ผู้ทรงฤทธานุภาพ, ผู้ทรงฤทธานุภาพ, ผู้ทรงฤทธานุภาพ, ผู้ทรงฤทธานุภาพ,
na pia majibu kuhusu dhamiri Nayo imegawanyika katika sehemu zifuatazo.
3.0: AMRI KUU
3.1: AMRI KUMI ZA MNGU
3.2: AMRI ZA KANISA
3.3: FADHILA
3.4: DHAMIRI
3.5: DHAMBI
3.6: VISHAVISHI
4: SEHEMU YA NNE: SALA MUHIMU
เพื่อให้เป็นไปตามความต้องการของผู้อื่น,
namna ya kusali, wakati wa kusali ikiwa na lengo la kukufanya umshirikishe Mungu na kuwa karibu naye kwa kila jama ufanyalo kwa siku nzima. ในขณะที่คนอื่น ๆ
4.0: ศาลาแอ็ปโซลูฮี
4.1: SALA YA JIONI
4.2: SALA KABLA YA MAFUNDISHO
4.3: SALA WAKATI WA KUUNGAMA
4.4: SALA ZA JIONI
4.5: ศาลา ZA KOMUNYIO
4.6: SALA KWA BIKIRA MARIA